Tuesday, 8 July 2014

LINDA OKELLO YULE ASKARI POLISI WA KENYA ALIYEPAMBA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI DUNIANI SASA ATOKEA KATIKA PICHA NYINGINE ZA MITEGO ZAIDI


Linda Okello ni mfanyakazi katika idara ya polisi nchini Kenya na aliupata umaarufu baada ya kupigwa picha na paparazi ikimuonyesha makalio yake makubwa.

Tangu siku hio 'staa' huyu anauinjoy umaarufu kwa kupiga picha za nusu uchi (ana kesi kortini kwa kukiuka sheria kama polisi.)

Kazi yetu nikurusha picha zozote zitakazotoka kwa mtandao.

Tukiongea kuhusu picha, mdada huyu roundi hii amerusha picha kwa mtandao akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na amezipiga kwa ustadi akiyaangaza mapaja yake vizuri huku akiwa amevalia minisketi.

Cheki picha zenyewe kwa hisani ya Nairobi Exposed.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search