Tuesday, 30 September 2014

HIZI NDIZO SIFA ZA MWANAUME MWENYE MVUTO KWA MABINTI....Wanaume wenye Mvuto
Wanawake wengi sana hupenda Wanaume ambao kwa kimo ni Warefu kidogo, maana yake yeye awe chini. Pia awe na Mwili wa wastani, na si kitambi kikubwa (kwani wanaamini wenye vitambi uwahi kuchoka panapo Majambozi.

Mwanaume mwenye mvuto kwa mpenzi wake ni Yule mwenye sifa zifuatazo.
 • 1.       Kwanza awe mrefu wa wastani,
  2.       Mwenye sura isiyokunjamana sana
  3.       Mwenye macho kama wa kusinzia/meupe pembeni mwa mboni
  4.       Mwenye mwili ulio pangika vizuri (hakunakitambi) na kifua cha wastani
  5.       Mwenye sauti Mzuri na Lugha yake Laini (Maneno Matamu)
  6.       Mtu asiye jisikia ila mwenye kujiheshimu awapo mbele za watu
  7.       Mwenye kujipenda kimavazi (awe na Mpangilio mzuri wa Mavazi) (anayejua kuvaa vizuri)
  8.       Mwenye kujali (kuchukulia Tatizo la Mwanamke wake kama serious na si kudhalau)
  9.       Anapenda Masihara akiwa na mwenzake (asiwe serious)
  10.   Anapenda kupiga story za kijinga Wakiwa wawili (Kumchokoza, na hata kumbembeleza anapo kasirika)
  11.   Anayependa kuitwa jina Lake kamili (lakini siMara kwa mara)
  12.   Anayeto Zawadi (Hata kama ni ndogo Kiasi gani)
  13.   Anayependa kukumbushia siku ya kwanza kukutana alijisikiaje na Kaka ukisahau yeye atakukumbusha..


Wengi watashangaa Mvuto nini?
Kuna mvuto wan je
Ambao hata bila kuongea wala kumzoea mtu Unakuwa nao na mtu akiuona anavutika, Lakini mvut huo usipo kuwa na sifa kama hizo hapo juu, mvuto huo hauna msaada kwa Mwanamke unaye mpenda.Wanawake wanapenda sana Kudeka na kudekezwa, lakini usimpe chance hiyo ikawa imezidi sana kwani ipo siku atakuambia upike chakula nay eye anaenda cheza na shoga zake,

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search