Saturday, 4 October 2014

BONGO MOVIE MMEPITILIZA:: IRENE UWOYA NA RICH WANYONYANGA ULIMI LIVE, CHEKI HAPA VIDEO


uwoya na rich kissing
Kama mpenzi wako ana ndoto za kuwa muigizaji wa filamu za hapa Tanzania, huenda ukabadilisha mawazo yako ukiona video hii ya Irene Uwoya na Single Mtambalike aka Rich wakibadilishana mate kwenye scene ya filamu yao mpya.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search