Wednesday, 8 October 2014

JE UNAJUA SIRI YA WANAWAKE WENYE MWANYA,NDEVU NA VIDOTI KUPENDWA SANA NA WANAUME BASI HII NDIO SIRI YENYEWE

Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa  wanawavutia sana Wanaume Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao huwavutia wanaume walio wengi sana na mambomseto tukiwa wamoja wapo:wewe wavutiwa?

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search