Tuesday, 11 November 2014

HUU NDIO MKATABA WA AJABU AMBAO UMEVUNJA REKODI LEO HII KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMAbaada ya Mabishano makubwa kutokea kuhusiana na mechi ya leo ya Man u na Chelsea huu ndio ulikuwa mwisho wa mabishano baada ya kuwekea dau  juu ya mechi hiyo,Baaada ya mashabiki wa Man u kutoa mawe na wa Chelsea wakatoa creti ya bia, Utata huo umetokea leo hii Mkoani Dodoma katika chuo kikuu cha Dodoma:


 


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search