Wednesday, 3 February 2016

MAMA YANGU ALINIFUNDISHA UHUNI KWA SIKU NILILALA NA WANAUME ZAIDI YA KUMIUkistaajabu ya Musa basi labda Hujayaona ya Juma, Nimepata e-mail kutoka kwa msichana mmoja akieleza jinsi alivyoingia kwenye Umalaya na Kuanza Kuuza Mwili wake:

Admin  Udaku Specially Mimi ni Msichana mwenye Miaka 20 tu lakini niliyopitia ni zaidi ya mwanamke mwenye miaka Thelathini , Mimi nimelelewa na Mama peke yake hata baba yangu simjui mama aliniambia kuwa baba alimwacha baada ya hali ya maisha kuwa ngumu, Nikiwa na Miaka 15 nikiwa naishi maeneo ya Mwananyamala na Mama, maisha yalikuwa magumu kiasi mama akawa analeta wanaume ndani ya nyumba usiku na hata mchana ili tupate hela ilifikia wakati wale wanaume wakija nyumbani wananitamani na kuumuuliza mama kama mimi ni mtoto wake, Siku moja mama alikuja na jamaa mmoja usiku wa manane wakiwa wamelewa sana , basi kwa vile tulikuwa chumba kimoja yule jamaa alivyoingia ndani akawa anamwambia mama ananitaka , na mama akaanza kunilazimisha kilevi nilale nae kuwa atanipa hela nyingi ,usiku ule nilijikuta nimelala na yule jamaa huku mama akiwa kalewa chakari iliniuma sana , akatuachia sh 25,000 asubuhi , basi mwendo uliendelea hivyo hivyo mpaka muda mwingine mama akawa ananiita twende nae kwenye mabaaa , ambapo tulipata wanaume mbali mbali ili tupate kipato , nami nikazoea kabisa , kwa siku nilikuwa nalala na wanaume zaidi ya kumi, kwasasa nimepanga chumba kimoja naishi kijitonyama nataka kuachana na hiyo kazi kwani siipendi nataka niwe msichana wa kawaida , nimepima ukimwi nimeambiwa sina..ila sasa sina shughuli yoyote ya kuniingizia kipato kwa sasa na elimu sina, Naomba Kama unawajua watu naweza fanya hata shughuli za ndani au kuuza Duka ili mradi niepuke na umalaya

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search