Wednesday, 29 June 2016

KAMANDA SIRRO:BADO TUNAMTAFUTA GWAJIMA

June 29/06/2016 at 9:15 am

Kamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado hawajapata majibu.

Amesema walipokea barua kutoka kwa wakii wake lakini wao hawafanyi kazi kwa taarifa hizo, amewataka waandishi wa habari na wananchi wasaidie kupatikana kwake..

 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search