Monday, 18 July 2016

BASI LA MWENDO KASI LAPATA AJALI


 Basi la mwendo kasi (DART) limepata ajali muda huu eneo la makutano ya barabara ya Jamhuri na Morogoro Dar es Salaam. Ajali hiyo imehusisha basi hilo na gari jingine dogo.
Haijaweza kufahamika mara moja madhara yaliyotokana na ajali hiyo.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search