Monday, 18 July 2016

HAWA HAPA WASHINDI WA TUZO ZA LIGI KUU BARA KWA MSIMU WA MWAKA 2015/2016


Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara zinatolewa leo Julai 17, hapa ni baadhi ya timu/ wachezaji/ viongozi walioshinda tuzo hizo.

  1. Timu yenye nidhamu – Mtibwa Sugar.
  2. Goli bora la msimu – Ibrahimu Ajib.
  3. Mchezaji bora chipukizi – Mohamed Hussein.
  4. Kipa bora – Aishi Manula.
  5. Thaban Michael kamusoko
  6. Kocha bora kwa msimu- Hans Van Pluijm
  7. Mfungaji bora-  Amiss Tambwe.
  8. Mchezaji bora wa msimu- Juma Abdul
  9. Refa Bora-  Ngole Mwangole

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search