Friday, 15 July 2016

MH ZITTO KABWE AMEFUNGA NDOA SIKU YA JANA

Ni July 14, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search