Tuesday, 5 July 2016

PICHA MBALIMBALI ZIKIMUONESHA MKUU WA WILAYA YA HANDENI BWANA GODWIN GONDWE AKIWA OFISINI SIKU YA KWANZA BAADA YA KUAPISHWA


Mtangazaji mkongwe Godwin Gondwe ni miongoni mwa wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Rais Magufuli ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya nane wa wilaya za mkoa wa Tanga walioapishwa na mkuu wa mkoa huo, Martin Shigela, kushika wadhifa huo.

Gondwe ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Handeni na hapa rasmi ameanza kutekeleza majukumu yake:


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search