Wednesday, 26 October 2016

HUU NDIO MPANGILIO WA VYEO VYA JESHI LA WANANCHI (JWTZ)

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) (Tanzania People’s Defense Force (TPDF)) ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi Septemba katika mwaka 1964. Lilichukua nafasi ya jeshi la Tanganyika Rifles lililorithiwa na ukoloni wa Kiingereza.
Hizi ni baadhi ya shughuli ambazo hufaywa na JWTZ
  • Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • Kufanya mafunzo na mazoezi ili kujiweka tayari kivita wakati wote.
  • Kufundisha umma shughuli za ulinzi wa Taifa.
  • Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa
  • Kutoa huduma mbalimbali za kijamii.
  • Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji mali kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
  • Kushiriki ulinzi wa amani kimataifa.
Watu wengi hushindwa kuelewa mpangilio wa vyeo ndani ya jeshi hili na hivyo kushindwa kutambua alama fulani inawakilisha mwanajeshi mwenye cheo gani.
Hapa chini ni mpangilio wa vyeo vya JWTZ.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search