Wednesday, 12 October 2016

NCHI KUMI ZINAZOONGOZA KWA KUWA NA WANAWAKE WAREMBO ZAIDI DUNIANI

Mara nyingi watu husema kuwa uzuri wa kitu au wa mtu upo kwa yule anayetazama. Hilo ni kweli kwani wewe unaweza kuona kitu au mtu ni mzuri lakini mwingine asione hivyo. Lakini kuna vile vitu au watu ambavyo huonekana vizuri machoni pa watu wengi. Wahenga husema kuwa kizuri hakijifichi.
Dunia imeumbwa na mchanganyiko wa watu tofauti tofauti, lakini kuna baadhi ya mataifa raia wake (wanawake) huonekana kuwa ni wazuri na wenye kuvutia zaidi kuliko taifa jingine. Hii ndio sababu utakuta baadhi ya watu wanasema, wasichana wa nchi fulani, wazuri kweli.
Hapa chini ni orodha ya mataifa 10 ambayo yanaaminika kuwa yana wanawake warembo na wenye kuvutia zaidi.
10. Ufilipino
Wengi huwa tunawaona kwenye tamthilia za kifilipino ambazo nyingi huwa na maudhui ya mapenzi. Ukweli huwa wana muonekano na umbo la kuvutia. Na mara kadhaa wameshinda kwenye mashindano mbalimbali ya urembo.
9. Uingereza
Wasichana kutoka nchini Uingereza katika karne hii wanakuwa katika mchanganyiko wa tamaduni mbalimbali kutokana na muingiliano mkubwa wa watu. Hii huchangia wao kuonekana warembo.
8. Marekani/Canada


Ukitembelea miji maarufu kama New York, Las Vegas, Miami, Los Angeles utaona warembo mbalimbali ambao wanajua namna ya kujiweka wakaonekana warembo. Kwa wasichana wa Marekani na Canada wanakuwa katika kundi moja.
7. Uholanzi
Ukizungumzia msichana kutoka Italia, unamzungua mtu anayejua mitindo mbalimbali ambayo inaweza kuendana na mwili wake na wakati alafu anaonekana nadhifu machoni pa kila mtu.
5. Venezuela
Sifa kubwa ya wasichana kutoka katika nchi hii ni warefu, wenye maombo madogo ya kuvutia. Kila mwaka katika mashindano ya urembo huwa wanafanya vizuri.
4. Urusi
Umewahi kuona picha ya Mwanasheria Mkuu wa Urusi? kama bado mtafute alafu utaelewa uzuri wa wasichana wa Urusi ukoje. Mchanganyiko kidogo kutoka nchi za magharibi na zile za Asia unawafanya waonekane warembo sana.
3. Ukraine
Licha ya kuwa karibu wangefanana na wale wa Urusi, lakini wasichana wa Ukraine wameogezewa kitu cha zaidi kinachowafanya waonekane warembo zaidi.
2. Brazil
Ukienda kwenye sherehe za tamaduni nchini Brazil utaelewa somo, au uende kwenye fukwe maarufu ka Copacabana utaina fahari ya Brazil kwa namna wasichana walivyo warembo.
1. Uturuki

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search