Monday, 17 October 2016

UNTY EZEKIEL AMJIBU ALIYEKUWA MPENZI WA MOSE IYOBO BAADA YA KUMKASHIFU KWA KUKOSA TUZO-SOMA HAPA KWA HABARI ZAIDI

Aliyekuwa mpenzi Mose Iyobo manenguaji wa Diamond Platnumz, amezua balaa kufuatia ujumbe wake aliaondika chini ya picha ya Harmonize akimpongeza kwa kuhsinda tuzo ya AFRIMMA zilizotolewa siku ya Jumamosi Oktoba 15.
Msichana huyo maarufu kwa jana la Mwengi aliweka picha ya Harmonize na Wolper na kuandika maneno haya;

Baada ya mke wa Mose Iyobo, muigizaji Aunty Ezekiel kuona post hiyo, na yeye akafunguka kwa kusema haya;
Baby Cjui Ulimpa Nn yule jaman Mana anazunguka wee Anatoa koteee Ila hakusahau jaman Kumbe hata aliporudi back alikuwa mawindoni kashindwa kaanza Upya looh!Mlikuwa wote hata Mombasa hawakukujua maskini leo Hadi Afrima wanakutambua kumbe alikuwa anafatilia maskini bado ndio kwanza tunaanza safari…Ma lv mdogo mdogo ndio mwendo Achana na maneno yake alikuacha kwenye Geto wiki na miezi yy busy na Mganga leo ndio anaona wamaana au unaona watu hawaongei ww Binti plz just leave ma family Mama katafute na ww pakunyakua ukipata viwembe tena vumilia mwisho utapata wako ni Kupambana tuu Huyu si wako tena alichoka kukaa geto ma lv Pesa zote Unakula hata kupanga chumba kimoja kilikushinda hiyo Family au Mfano Hebu kataftie mtoto Baba acha kushindana na Mm am not ur type ma lv 🙋 an huyu kurudi huko sahau boo boo an Ni mwanzo na mwisho kupost kuhusu ww nahisi Followers nilokupa wanakutosha.byee Enjoy ur life😘#hutakiwikufanyahasira unatakiwa kukakaamaa kwani Ujenzi wa bila kazi Umemaliza😉 #povulangulamwishobyeee

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search