Wednesday, 22 March 2017

HAYA NI MAONI YA PROFESA NGULI WA MASUALA YA SHERIA ,ISSA SHIVJI

#1: Kiongozi bora huwashawishi, sio kuwashambulia wananchi wake.

 #1: Kiongozi bora huwashawishi, sio kuwashambulia wananchi wake.

 #3: Kiongozi bora huwavumilia, sio kuwavurumisha wananchi wake.

 #4: Kiongozi bora huamsha nia, na kuonyesha njia wananchi wake.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search