Monday, 20 March 2017

HIVI NDIVYO RUGE MUTAHABA ALIVYOMKAANGA MAKONDA KUHUSU KUVAMIA KITUO CHA CLOUDS • MKURUGENZI wa uzalishaji vipindi wa kampuni ya Clouds Media Group, (CMG), Ruge Muitahaba, amethibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa na askari wenye silaha, amevamia ofisi za Clouds Ijumaa saa 10:45 usiku.
  “Majira ya saa 10:45 napigiwa simu na Kitoi, kuna Crisis ofisini mlinzi amenipigia simu kuwa Mkuu wa Mkoa ameingia pale ofisini akiwa na askari 6 wenye silaha.
  Hata hivyo Ruge akizungumza kwenye kipindi cha asubuhi cha 360 kinachopeperushwa na runinga ya Clouds, leo Machi 20, 2017, alsiema “Kwanza mimi nashangaa sana, nyinyi hamna hata diplomasia, mmeuliza moja kwa moja, nafikiri turudi nyuma kidogo lakini tunachozungumzia weekend hii kuanzia Alhamisi asubuhi. Tulikuwa na kipindi cha TCRA wakatupiga msasa, hapa hapa ofisini, katikati ya mkutano akaingia Mkuu wa Mkoa, tukasalimiana mara akapotea, niliposhuka nikamkuta Mkuu wa Mkoa akiwa na vijana wale wa SHILAWADU, wamemzunguka, nikawaona lakini nikawaacha, wakati ninataka kupanda gari langu,kijana mmoja akanijia na kuniambia Bosi tumepata tip hapa, kuna mama mmoja kazaa na Mchungaji Gwajima, lakini wakaniambia kuwa wamemtafuta Gwajima hawajampata, mimi nikawaambia kama hawajampata achaneni na hiyo story.”
  “Alhamisi saa 10, nikapigiwa simu na mchungaji Gwajima, kwamba kuna vijana wako wa SHILAWADU kuwa wanakipindi kinachonihusu nikamwambia mimi sijui lakini nitafuatilia.”
  “Nikawaambia hiyo story hata kwenye social media isitoke, kama hamjabalance story, na nikawaambia wale vijana, kama ule mkutano wenu mliokuwa ane pale Mkuu wa Mkoa juu ya kipindi hicho, basi muambieni kipindi hakitatoka.” Alisema Ruge.
  Ijumaa tulikuwa busy, lakini nilitoa msisitizo kwa Kerry, kwamba waambie watu wako wa SHILAWADU, kile kipindi kisiruke, na nikamwambia Kitoi, HR, kuwa hicho kipindi kisitoke. Na ndani ya wenyewe wale SHILAWADU, palikuwa na mvutano baina yao
  Nilipokata simu Mkurugenzi Mtendaji Joseph Kusaga ananipigia simu kwa kitu nisichokielewa, Mkuu wa Mkoa ananipigia simu kunilaumu kuwa kuna kipindi nimekizuia, nikamwambia wewe tulia mimi nikampigia Mkuu wa Mkoa, ni kwa nini unakuja ofisini ukiwa na bunduki, akaniambia kwanini umesimamisha kipindi change, nikamwambia sio kipindi chako ni mimi ndio ninahusika,
  Akasema kuna kipindi cha mwanamke aliyezaa na Gwajima, mbona hamjatumia, nikamwambia mimi siwezi kuruhusu kitu kama hicho, akakata simu,
  zilizozagaa nchini kuwa studio za Radio Clouds na Clouds Tv zilivamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akisindikizwa na askari wenye silaha.
  Ukanda mfupi wa video, umesambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya televisheni hapa nchini, ukimuonyesha Mkuu huyo wa Mkoa, akiwa na askari wenye silaha, akiingia kwenye ofisi inayodaiwa kuwa ndio ofisi za Clouds Mikocheni B, usiku wa Machi 17, 2017.

  Kwa Mara ya kwanza Makonda anatuvunjia heshima sisi kama Rafiki zake tulifanya kazi naye Uzuri tangu akiwa Mkuu wa wilaya. Siwezi kuukana urafiki wetu.
  Ukweli sisi kama chombo cha Habari lazima tujenge heshima ya kutoa habari zenye uwiano lazima tuiheshimu taasisi yetu.
  Naomba nieleweke wazi hatuwezi kumuacha mtu akatupanda kichwani hii ni dharau kwangu nasimamia watu 200 asinidharau." - #RugeMutahaba
"Kwa Mara ya kwanza Makonda anatuvunjia heshima sisi kama Rafiki zake tulifanya kazi naye Uzuri tangu akiwa Mkuu wa wilaya. Siwezi kuukana urafiki wetu.
Ukweli sisi kama chombo cha Habari lazima tujenge heshima ya kutoa habari zenye uwiano lazima tuiheshimu taasisi yetu. 
Naomba nieleweke wazi hatuwezi kumuacha mtu akatupanda kichwani hii ni dharau kwangu nasimamia watu 200 asinidharau." - #RugeMutahaba


747 likes

 • mange_kimambi_"Kwa Mara ya kwanza Makonda anatuvunjia heshima sisi kama Rafiki zake tulifanya kazi naye Uzuri tangu akiwa Mkuu wa wilaya. Siwezi kuukana urafiki wetu.
  Ukweli sisi kama chombo cha Habari lazima tujenge heshima ya kutoa habari zenye uwiano lazima tuiheshimu taasisi yetu.
  Naomba nieleweke wazi hatuwezi kumuacha mtu akatupanda kichwani hii ni dharau kwangu nasimamia watu 200 asinidharau." 
Hivyo yaaan๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba amethibitisha kuwa RC Paul Makonda alivamia Studio zao siku ya Ijumaa Usiku na kuwa ni kweli Video zinazosambaa ni za Clouds Media.

Mutahaba ameeleza kuwa alipigiwa simu kuwa Mkuu huyo wa mkoa amefika ofisini hapo na Askari wenye silaha na alipompigia simu kuhoji alimuuliza, "Kwanini umezuia kipindi changu kuruka?" Amesema kuwa ukweli ni kwamba hakuna aliyepigwa ila sio sababu ya kuchukuliwa kama jambo dogo kwani lilijenga hofu kwa wafanyakazi.

Pia amesema mtu kuwa na nafasi ya Uongozi fulani si sababu ya 'kuwapanda' watu, heshima ni muhimu. Na si sahihi kudai kila anayemkosoa anapingana na Vita ya #DawaZaKulevya.


Hivyo yaaan๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ Mkurugenzi wa Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba amethibitisha kuwa RC Paul Makonda alivamia Studio zao siku ya Ijumaa Usiku na kuwa ni kweli Video zinazosambaa ni za Clouds Media.


 • Mutahaba ameeleza kuwa alipigiwa simu kuwa Mkuu huyo wa mkoa amefika ofisini hapo na Askari wenye silaha na alipompigia simu kuhoji alimuuliza, "Kwanini umezuia kipindi changu kuruka?" Amesema kuwa ukweli ni kwamba hakuna aliyepigwa ila sio sababu ya kuchukuliwa kama jambo dogo kwani lilijenga hofu kwa wafanyakazi.

  Pia amesema mtu kuwa na nafasi ya Uongozi fulani si sababu ya 'kuwapanda' watu, heshima ni muhimu. Na si sahihi kudai kila anayemkosoa anapingana na Vita ya #DawaZaKulevya
" Kauli yangu ya mwisho ilikuwa habari ya Askofu Gwajima isiruke. Ijumaa nimekaa nyumbani usiku nashangaa kupokea simu ya Meneja wetu wa masuala ya Uajiri , akaniambia ofisini kuna 'Crisis'. Nikauliza kuna nini? Nikaambiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda amekuja ofisini na ameingia na watu karibia Sita wamebeba bunduki " -#RugeMutahaba.
.
.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alikuja Ofisini kwetu usiku wa saa 5, akiwa na watu wenye nguo za Kiaskari. Watu hao zaidi ya 6, walikuwa wamebeba Bunduki.


2,859 likes

 • cloudstv" Kauli yangu ya mwisho ilikuwa habari ya Askofu Gwajima isiruke. Ijumaa nimekaa nyumbani usiku nashangaa kupokea simu ya Meneja wetu wa masuala ya Uajiri , akaniambia ofisini kuna 'Crisis'. Nikauliza kuna nini? Nikaambiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda amekuja ofisini na ameingia na watu karibia Sita wamebeba bunduki " -#RugeMutahaba.
  .
  .
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alikuja Ofisini kwetu usiku wa saa 5, akiwa na watu wenye nguo za Kiaskari. Watu hao zaidi ya 6, walikuwa wamebeba Bunduki

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search