Wednesday, 22 March 2017

Zitto - Uvamizi wa Makonda Clouds Media Unabaraka za Rais Magufuli,Ushahidi Huu Hapa


Nimefahamishwa kuwa waliomsindikiza RC wa Dar Clouds Media ni walinzi maalumu ambao kibali cha kuwatumia hutolewa na Rais au DG Usalama .

Kuna ulazima wa kuwapo Kwa uchunguzi Wa kibunge wa matumizi ya kikosi maalumu cha kumlinda Rais. Ni jambo baya na halivumiliki hata kdg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search