Monday, 8 May 2017

ANGALIA MUBASHARA KUAGWA KWA WAPENDWA WETU ARUSHA

May 8, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search