Saturday, 6 May 2017

BREAKINGNEWS:- Basi lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent Lapata Ajali na Kuuwa zaidi ya wanafunzi 30Arusha. Kamanda wa Polisi, mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema wanafunzi 31 na walimu wao wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Karatu, ulipo mto Mlera.

Mkumbo ambaye yupo njiani akielekea wilayani Karatu amesema wanafunzi waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni wa shule ya mchepuo wa Kiingereza, iitwayo LackVicent ya mjini Arusha.

Taarifa zaidi kuhusu tukuio hili zitaendelea kuwekwa hapa katika chumba cha habari cha kidijitali, MCL.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search