Monday, 29 May 2017

CARRICK ASAINI KANDARASI YA MWAKA MMOJA KUENDELEA KUITUMIKIA MAN UTD

Kiungo mkongwe wa Manchester United, Michael Carrick anatarajiwa kuendelea kubaki klabuni hapo kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kuwa mkataba wake unafikia tamati mwezi huu.
Carrick amesaini mkataba wa mwaka mmoja, juzi usiku kuendelea kuitumikia timu hiyo, hiyo ikiwa na maana kuwa anaenda kwenye mapumziko akijua atarejea klabu hapo kuendelea kuitumikia kwa mwaka wa 12.

Kulikuwa na tetesi kuwa Kocha wa Man United, Jose Mourinho angemruhusu Carrick kuondoka kutoka na umri kuwa umeenda, lakini suala la umri wa miaka 35 limekuwa siyo tatizo kw akocha huyo

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search