Monday, 8 May 2017

HIVI NDIVYO ILIVYO WAKATI WA KUAGA WAPENDWA WETU UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA LEO HII TAREHE 8/5/2017

Image may contain: 3 people, crowd and outdoor


Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yalifungwa kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji huku wengine wakiendelea kuwasili.
Why is our president not here to mourn with his people.???? Inauma sana!!
.
.
Anyways Mungu awatie nguvu watu wa Arusha na waTanzania wote kwa ujumla.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search