Friday, 26 May 2017

HIZI NI POST MBALIMBALI ZA MASTAA BAADA YA KIFO CHA IVAN

Usiku wa kuamkia  May 25 zimeripotiwa taarifa za kifo cha aliyekuwa mume wa Zari The Boss Lady ambaye walifanikiwa kuzaa naye watoto watatu, Mr Ivan Semwanga a.k.a Ivan Don.
Ikiwa ni baada ya wiki chache zilizopita kuripotiwa taarifa zake kwamba ni mgonjwa mahututi kama picha ambazo zilikuwa zikisambaa mitandaoni zilivyokuwa zikimuonyesha.
Hakika msiba huo umemgusa kila mmoja ambaye alikuwa akimfahamu mfanyabiashara huyo mahiri na maatufu nchini Uganda, ikiwa ni pamoja na mastaa mbali mbali wa muziki na filamu wa hapa nchini kwetu.
Hizi ni baadhi ya posts ambazo baadhi ya mastaa wa hapa nchini walipost kwenye kurasa zao za kijamii katika kuonyesha hali ya kuguswa na msiba huo na kuwapa pole wafiwa.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search