Sunday, 14 May 2017

KAMA ULIKUWA HUJAWAHI KUWAONI NA HUWAJUI WAHENGA BASI NDIO HAWA HAPA

1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu

2. Asiye na mwana,aeleke jiwe

3. Zimwi likujualo halikuli likakwisha

4. Kikulacho kunguoni mwake

5. Mtoto akililia wembe,mpe

6. Asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu


Naomba na ww uongezee kidogo huku ulitambua hawa hapa chini ndo wahenga wenyewe.


IMG-20170514-WA0122.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search