Wednesday, 10 May 2017

KIONGOZI WA MUSLIM BROTHERHOOD AFUNGWA MIAKA 25 JELA NCHINI MISRI

Mahakama moja nchini Misri yatoa hukumu ya miaka 25 gerezani kwa kiongozi mkuu wa chama cha Muslim Brotherhood siku ya Jumatatu .

Wakati huo huo pia mahakama hiyo ilitoa hukumu sawia kwa viongozi wengine wawili wa makundi mengine nchini humo.

Washtakiwa wegine 15 nao walipewa adhabu ya gerezani kwa miaka 5 kila mmoja.

Mohamed al-Badie, kiongozi wa Muslim Brotherhood alihukumiwa jela miaka 25 kwa kupatikana kwa makosa ya kusababishs ghasia jijini Cairo mwaka 2013 iliyopelekea mapinduzi nchini humo.

Kundi hilo lilianza maandamano ya kumuungs mkono rais wa zamani Mohammed Morsi

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search