Monday, 15 May 2017

MWAKA 1978 NDIO MSIMU WA MWISHO KWA MAN UTD NA ARSENAL KUSHINDWA KWA PAMOJA KUINGIA TOP FOUR

Iwapo Arsenal na Man United, zitashindwa kuingia kwenye Top Four, zitakuwa zimerudia rekodi ya mwaka 1977 na 1978 ziliposhindwa kufanya hivyo.


Baada ya hapo, timu hizo zote au moja kati ya hizo ziliingia katika hatua hiyo ya Top Four.


Miaka hiyo miwili ya 1977 na 1978, ndiyo ilikuwa ya mwisho mfululizo kwa timu hizo zilishindwa kuingia katika hatua hiyo.

1977
1. Liverpool (Bingwa)
2. Man City
3. Ipswich 
4. Aston Villa
5. Newcastle
6. Man United
7. Wes Brom
8. Arsenal
9. Everton
10. Leeds United


1978
1. Notthingham Forest (Bingwa)
2. Liverpool
3. Everton
4. Man City
5. Arsenal

6. Wes Brom

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search