Sunday, 14 May 2017

NAMNA YA KUJUA KAMA UMEMRIDHISHA MWENZI WAKO KUNAKO SITA KWA SITA

Raha ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi baina ya wapenzi wawili ni kila mmoja kuwa na furaha na kuridhika kwa yale anayofanyiwa na mwenzake. Siku zote kila mmoja hujitahidi kufanya mambo ambayo anahisi yatamridhisha na kumfurahisha mwenza wake ili kuendelea kuyastawisha mapenzi baina yao.

Watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kama vile kununuliana zawadi, kwenda kutembea pamoja, kuukaapamoja na mengine mengi kwa lengo la kuwafurahisha wenza wao.

Vilevile katika mahusiano kufanya mapenzi ni njia moja wapo muhimu ya kuonyesha kuwa unampenda na kumjali mwenza wako.

Wapenzi wengi wanapofanya mapenzi, kila mmoja hutamani kumridhisha mwenzake na kuhakikisha kuwa amelifurahia tendo. Japo wapo wengi hasa wanaume wanaodhani kuwa wamewaridhisha wapenzi wao lakini ukweli ni kuwa wenza wao hawakuridhika.

Wanawake wameumbwa na hisia tofauti kwa kila mmoja, na wana namna tofauti ya kuridhishwa katika kujamiiana.

Idadi kubwa ya wanawake walioko katika mahusiano hawakuwahi kufika kileleni ama wamefikishwa mara chache sana katika muda wote ambao wamefanya mapenzi.

Wako wachache wenye ujasiri wa kuwaeleza wapenzi wao kuwa hawajafika kileleni, lakini wengi wao hubaki wakiugulia tu moyoni jambo ambalo hupelekea wao kutafuta wanaume wengine ili wajaribu kama watafikishwa kileleni.

Kwa wanaume wengi hudhani kuwa wapenzi wao wamefika kileleni, kumbe hudanganywa na wanawake ili tu wamalize na wasiendelee kuwpotezea muda pasipo mafanikio.

Hizi hapa ni njia chache ambazo kupitia hizo unaweza kutambua kama mwenza wako amefika kileleni ama anakudanganya ili umalize haja yako na kuondoka.

Kukukumbatia kwa nguvu au kukufinya

mwanamke anapokuwa anakaribia au anapofika kileleni, huwa na tabia ya kujikaza na kufanya vitendo kama vile kufinya shuka, kukukumbatia kwa nguvu au hata kung’ata meno. ukiona mwanamke amefikia hatua ya kufanya vitendo hivyo basi huenda anakaribia kufika au ndiyo anafika kileleni.

Kutokwa na jasho ndani ya sekunde chache
Ukiona mwanamke anatokwa na jasho ndani ya sekunde chache na katika hali isiyo ya kawaida basi jua kua utendaji wako ni mzuri na unamridhisha.

Uhisi misuli ya uke ikikaza na kuachia

Mwanamke anapokaribia kutaka kufika kileleni utasikia misuli kuzunguka uke kama inakaza na kuachia hivyo hivyo kwa sekunde kadhaa na utahisi wazi uume ukibanwa na kuachiwa hivi. Na wakati huu mwanaume hatakiwi afike kileleni kwani atamwacha mwenza wake pabaya sana. Kadri mwanamke anavyokaribia kufika kileleni ndivyo na kasi ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke itakavyokuwa inaongezeka. Kitendo hiki cha uke kuubana na kuuachia uume kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka mwanamke atakapofika kileleni.

Lugha ya mwili

Hapa mwanamke anaweza kuwa anahema haraka haraka kwa sababu ogani zake za ndani na mishipa yake vitakuwa vinahitaji oksijeni zaidi ili aweze kufika kileleni salama. Hivyo hivyo atazidisha kujikunjakunja, kujinyonganyonga au kujisogeza kwako. Kama atakuwa ametulia tu ujue bado hivyo ongeza bidii

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search