Thursday, 11 May 2017

NAPE:CCM IKIENDELEA HIVI WANANCHI HAWATAIRUDISHA MADARAKANI

Nape Nnauye amesema serikali ilipoingia madarakani iliongeza mapato, kupunguza matumizi yasiayo ya lazima na tunaambiwa uchumi unakua kwa asilimia 7.2 lakini haya hayatakua na maana kama hayatatafsiriwa kwenye kuboresha huduma za jamii hasa maji

Amesema tunatakiwa tuone matokeo ya hatua hizi kwenye maboresho ya huduma za kijamii hasa maji la sivyo hazina maana

Amesema bajeti iliyopita imetengwa bilioni 900 na bajeti hii bilioni 600 hapo watanzania hawawezi kuilewa na ukuaji wa uchumi hauwezi kubaki kwenye makaratasi

Amesema ilani ya CCM ndio mkataba kati ya CCM na wananchi na wasiposhughulikia kama walivyoahidi basi wananchi hawatawarudish

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search