Monday, 15 May 2017

PICHA : MASHABIKI TOTTENHAM WALIVYOUAGA UWANJA WA WHITE HART LANE

Tottenham wamecheza mechi yao ya mwisho kwenye Uwanja wa White Hart Lane jijini London, England leo.

Mechi hiyo wameshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Man United na kuzidi kujichimbia katika nafasi ya pili ya Ligi Kuu England.

Lakini mashabiki, walipata nafasi ya kuuaga uwanja huo kwa shereha na kuukaribisha mpya. Msimu ujao wataanza kwa kucheza mechi zao kwenye Uwanja wa Wembley kabla ya kurejea katika uwanja mpya utakapomalizika.
Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search