Friday, 19 May 2017

RAY ALALAMIKA WASANII KUPUUZWA NA CCM


EBU SIKILIZA ANACHOSEMA RAY
“Wasanii tulizunguka nchi nzima tukilala katika mazingira ambayo ni tofauti na hadhi yetu hivyo ni vema viongozi wetu wakaliangalia hilo, kwani kazi tuliyofanya si ndogo ilikuwa kubwa sana. Kampeni zilikuwa ngumu sisi tumewagawa baadhi ya wapenzi wa kazi zetu na tumepoteza mashabiki wengi sana katika kazi zetu hii ni kwa sababu ya kufanya kampeni za CCM, serikali ijaribu kuangalia hawa wasanii wamepambana kufanya kampeni.”
UNAMSHAURI NINI RAY KUTOKANA NA KAULI YAKE?

Chanzo: Mwanaspoti

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search