Tuesday, 16 May 2017

WAZAIRI MWANAMKE NCHINI JAMAICA AJIACHIA HOVYO NA HIKI KIVAZI

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley.

Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye ni mbunge na waziri kufanya hivyo, huku wengine wakisema ni sawa.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search