Friday, 9 June 2017

Anna Mghwira apinga kuondolewa uenyekiti ACT Wazalendo

Image result for anna mghwira
Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh.Anna Mgwira amepinga kuondolewa uenyekiti wa ACT Wazalendo na kusema kuwa utaratibu haujazingatiwa. Mama Anna amesema bado anao uwezo wa kutumikia wana Kilimanjaro na chama chake pia.

Kiongozi Mkuu wa ACT alitangaza kuvuliwa uenyekiti kwa Anna Mgwira na nafasi hiyo kukaimishwa kwa mtu mwingine.

Ikumbukwe kwamba jana Mh.Mkuu wa Mkoa alifanya kikao na kamati kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jambo linalompa wakati mkuu katika kutumikia mabwana wawili

Chanzo: Nipashe

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search