Wednesday, 7 June 2017

BAADA YA MUME KUSHTUKIA MKEWE ANATEMBEA NA BOSI WAKE HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA

Huko nchini Kenya jamaa mmoja aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi wake ambaye ni mke wa mtu ameadhibiwa kwa style ya aina yake. Inaelezwa kuwa mwanamke huyo aliyekuwa akitembea na bosi wake alishtukiwa na mumewe na kuonywa lakini hakusikia. Kilichofuata ni mumewe kuvizia gari la bosi huyo na kuliandika kwa maandishi makubwa ya rangi nyeupe maneno yasemayo ‘Achana na mke wangu’.

Hii imekaaje?

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search