Wednesday, 7 June 2017

HIVI NDIVYO MAREHEMU NDESAMBURO ALIVYOLAZWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE

Mbunge wa zamani na mfanyabiashara maarufu kutoka Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo amezikwa leo June 6, 2017 nyumbani kwake KDC Moshi huku mazishi yake yakihudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo viongozi mbalimbali.
Kutoka eneo la mazishi nimekukusanyia picha 21 za tukio zima la mazishi.
                   

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search