Thursday, 1 June 2017

HUYU NDIO MBUNGE WA CCM ALIYESHANGILIWA NA WABUNGE WA UPINZANI BAADA YA KUHOJI JAMBO HILI


Katika hali ya kushangaza mbunge wa CCM ameshangiliwa na upinzani bungeni mara baada ya kuhoji zilipo Milioni 50 ambazo katika Ilani ya Chana cha mapinduzi zilitajwa kugaiwa kwa kila kijiji nchi Tanzania...

Alipongezwa na wabunge ambao wengi wao ni kutoka upinzani

Nini maoni yako katika hili?

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search