Wednesday, 7 June 2017

MBUNGE ATAKA WALIOSAINI MIKATABA YA MADINI WANYONGWE -NI ALLY KESSY


Mbunge Ally Kessy bungeni jana alisema wote wanaohusika na kusaini mikataba ya madini ambayo ni ya kinyonyaji wanyongwe, aliungwa mkono na wabunge wengine wa CCM

Lipumba naye alisema mikataba hii ni Mkapa ndiye aliyesaini, Je Ally Kessy hajui kuwa Mkapa ndio muhisika wa hili hadi akataka anyongwe? na kama anajua ni kweli anataka rais mstaafu anyongwe? au Lipumba alikuwa anadanganya?

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search