Monday, 5 June 2017

RONALDO KATIKA MUONEKANO MPYA WA NYWELE BAADA YA KUCHUKUA UBINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Cristiano Ronaldo jana aliposti picha hii akiwa na mwonekano mpya baada ya kunyoa kufuatia kuiongoza Real Madrid kutwaa taji la pili mfululizo la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya Juventus ya Italia, yeye akifunga mabao mawili peke yake

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search