Thursday, 8 June 2017

WAZIRI MKUU AKABIDHI VIFAA VYA KUJIFUNZIA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM

Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akiangalia Mtoto wa Darasa la saba Uhuru  Mchanganyiko Mariana  Alex  Mwenye  ulemavu  wa macho  , anavyo weza kuandika  kwa kutumia  mashine  maalumu  ya kuandika, Waziri Mkuu  alikabidhi vifaa  vya Kujifunzia katika shule mbali mbali hapa Nchini, shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam leo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search