Thursday, 20 July 2017

ANGALIA VIDEO EDWARD LOWASSA ALIVYOHOJIWA TENA NA POLISI


Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Edward Lowassa leo July 20, 2017 ameripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuhojiwa ‘DCI’ kuhojiwa kwa mara ya nne.
Lowassa ametakiwa kurudi tena kwa DCI baada ya wiki tatu kutokana na kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Edward Lowassa baada ya kuhojiwa na Polisi kwa saa 4!!!

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search