Thursday, 20 July 2017

ANGALIA VIDEO IKUMUONESHA TUNDU LISSU ALIVYOGOMA KUTOKA MAHAKAMANI

July 19, 2017 Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu aligoma kutoka katika chumba cha Mahakama ya wilaya Dodoma alipokuwa akifanya shughuli zake za uwakili kwa kuhofia kukamatwa na Polisi waliosemekana kumsubiri nje wamkamate kwa tuhuma za uchochezi.

Akiwa ndani ya Mahakama, Tundu Lissu aliongea mbele ya Waandishi wa habari Dodoma na kusema kuwa alibaini njama za Polisi kutaka kumkamata baada ya kupata taarifa kutoka kwa Mke wake  na kwamba Polisi walianzia kumtafuta nyumbani Dar es salaam kabla ya kufahamu kuwa yuko Dodoma.

Kwenye hii video hapa chini Tundu Lissu anaonekana akielezea mkasa huo… 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search