Monday, 31 July 2017

DIAMOND Ampeleka Zari Dubai...Waomboleza Kwa Staili ya Kipekee...Ona mashabiki walivyotoa povu

Zarithebosslady na Diamond Platinumz baada ya msiba wa mama yake Zari mama mkwe wa diamond kuisha hivi punde waamua kwenda kujiliwaza pande za dubai na kupost mavideoz online. watu wengi wameonyesha kutopenda kwa kuwa zari hajaomboleza vya kutosha msiba wa mama yake.


Je Mdau ni sawa kufanya mambo hayo hata ikiwa arobaini ya msiba haijafika?

TOA MAONI YAKO

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search