Friday, 14 July 2017

HUU NDIO UJUMBE ALIOANDIKA SHABIKI ALIYEMVAMIA WAYNE ROONEY TAIFAInadaiwa kuwa ujumbe huu uliandikwa katika kundi la WhatsApp na kijana aliyevamia dimba la Uwanja wa Taifa na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney wakati mchezo wa kirafiki kati ya Klabu ya Everton (kutoka Uingereza) na Klabu ya Gor Mahia(kutoka Kenya). .
Aidha Jeshi la Polisi lililazimika kuingia uwanjani na kisha kumuondoa kijana huyo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search