Monday, 17 July 2017

JE UNAJUA JIWE KUBWA KULIKO YOTE AFRIKA MASHARIKI ?LIANGALIE HAPA

Jiwe kubwa kuliko yote Afrika Mashariki lililopo nchini Tanzania linadaiwa kuwekwa kwenye kumbukumbu za kijiolojia na @UNESCO
Jiwe hilo linapatikana katika kijiji cha Mbuji kilichopo katika wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma. 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search