Monday, 17 July 2017

Mapacha Walioungana Maria Na Conso Wafanya Vema Matokeo Ya Kidato Cha 2


Mapacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vema katika matokeo ya Kidato cha Sita yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
Mapacha hao wamefanya vizuri kwa ufaulu wa Daraja la Pili (Division 2). Ndoto yao kubwa ilikuwa kujiunga na masomo ya Chuo Kikuu ili baadae watimize ndoto yao ya kuwa Walimu.
Mungu aendelee kuwasimamia, Mapacha Maria na Conso.
Hongereni Sana

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search