Monday, 17 July 2017

PICHA 13: Kutoka nyumbani kwenye msiba wa mke wa Waziri Mwekyembe

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amefika kuhani msiba nyumbani kwa Waziri wa Habari, Dr. Harisson Mwakyembe aliyefiwa na mke wake. Nimezipata hizi picha 13 kutoka Kunduchi nyumbani kwa Waziri Mwakyembe ambako msiba umewekwa.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search