Monday, 17 July 2017

TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

Waziri wa habari, utamaduni na michezo ndugu Harrison Mwakyembe amefiwa na mkewe aliyekuwa anaumwa kwa muda mrefu.
pic+mwakyembe.jpg 
Mke wa Waziri Dk Mwakyembe Bi. Linah Mwakyembe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Julai 16) katika Hospitali ya Agha Khani alipokuwa akitibiwa.
IMG_20170716_082151.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search