Thursday, 13 July 2017

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yasikitishwa na kauli ya Mzee Mkapa

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imesikitishwa kusikia matamshi ya Mheshimiwa, Benjamin William Mkapa Rais wa awamu ya tatu akirudia mamneno ya kejeli kwa Wtanzania wenye maoni tofauti na yale ya Serikali iliyoko madarakani kuwa ni Wapumbavu na Malofa.


97a56c30-79dd-45d5-bdb9-8aa2a23d94e6.jpg ​

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search