Friday, 18 August 2017

Mwili wa Mtu Aliyekufa Wakutwa Ufukweni Kawe Jijini Dar Ndani ya Kiroba

Mwili wa mtu asiyejulikana umekutwa kwenye fukwe za Kawe ukiwa umefungwa kwenye kiroba asubuhi ya jana 

Mashuhuda wanasema kuwa wavuvi wameusogeza ufukweni hapo, na kuucha, Jeshi la Polisi lilitaarifiwa na kuelekea sehemu ya tukio mwili ulipopatikana kwa uchunguzi zaidi..

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search