Tuesday, 12 September 2017

BARAZA LA HABARI TANZANIA - MCT LALAANI JARIBIO LA MAUAJI YA TUNDU LISSU

Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’ limesema limesikitishwa na jaribio hilo la mauaji dhidi ya Mbunge na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu.


Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kupitia kwa Katibu Mtendaji Kajubi Mkajanga September 11, 2017 Baraza hilo linaungana na wapenda amani na wadau wa habari na wa haki ya kujieleza na kutoa maoni kulaani kitendo hicho.


==>Isome hapo chini 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search