Tuesday, 5 September 2017

BREAKING NEWS:WABUNGE WA UKAWA WATOA NJE KUSUSIA KUAPISHWA KWA WABUNGE WAPYA WATEULIWA WA CUF


Picha ya JamiiForums

Picha ya JamiiForums
Wabunge wa UKAWA leo wamesusia kushiriki tukio la kuapishwa kwa wabunge 7 wa viti maalum wa CUF kuonesha kutokukubaliana na uhalali wao. .
- Hata hivyo, waliingia bungeni baada ya wabunge hao kumaliza kuapishwa na Spika Job Ndugai.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search