Wednesday, 13 September 2017

CHADEMA;-Tundu Lissu Amevunjwa Miguu yake, Nyonga na Mkono

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu ameumizwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake na kwamba alipigwa risasi nyingi tofauti na risasi tano zilizoelezwa.

Dk Mashinji amesema Lissu amevunjwa miguu yake, nyonga na mkono wa kushoto, jambo ambalo linawapa madaktari kazi kubwa na kuimarisha afya yake.

Tazama Video:

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search